LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Kigwangalla azindua maandalizi ya Onesho la Kimataifa la Utalii jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla amezindua rasmi Maandalizi ya Onesho la Kimataifa la Utalii (Great Lakes Intanational Tourism Expo- GLITE) linalotarajiwa kufanyika Juni 19-21, 2020 jijini Mwanza. 

Uhuo ulifanyika Machi 04, 2020 katika ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza ukihusisha mikoa yote ya Kanda ya Ziwa, Kigoma na Tabora kwa lengo la kuvitangaza vivutio vya Utalii.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla akizungumza kwenye uzinduzi wa maandalizi ya onesho la GLITE 2020 jijini Mwanza.
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Costantine Kanyasu akitoa salamu zake kwenye hafla hiyo.
 Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akitoa salamu zake kwenye uzinduzo huo.
 Viongozi na wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.