LIVE STREAM ADS

Header Ads

BAKWATA Mwanza wapokea vifaa vya kupambana na maambukizi ya Corona

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katika kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona, Mwenyekiti wa taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania Kanda ya ya Ziwa, Sibtain Meghjee (kushoto) Ijumaa Aprili 10, 2020 alimkabidhi Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Sheikhe Hasani Kabeke matenki saba ya maji pamoja na sabuni kwa ajili ya kutumiwa na waumini wa Kiislamu kutasa mikono katika misikiti ya BAKWATA mkoani Mwanza ambapo msaada huo umegharimu Tsh. milioni 1.5.
Na Baltazar Mashaka, Mwamza
Sheikhe wa Mkoa wa Mwanza, Sheikhe Hasani Kabeke akinawa mikono baada ya kupokea msaada huo.
Sheikh wa Mkoa wa Mwanza, Sheikhe Hasani Kabeke (kulia) akiwaongoza kusoma dua baadhi ya masheikhe na waumini wa misikiti iliyonufaika na msaada wa manteki ya maji na sabuni kwa ajili ya kutakasa mikono.
Mwenyekiti wa taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania, Kanda ya Ziwa, Sibtain Meghjee (kulia) akifurahia jambo wakati Sheikhe Hasani Kabeke ambaye ni Sheikhe wa Mkoa wa Mwanza akizungumza kwenye hafla ya kukabidhiwa vitakasa mikono saba vilivyotolewa na taasisi hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.