LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wadau Mwanza wabuni mtambo wa kupulizia dawa ya kuthibiti maambukizi ya Corona


Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Mkoa mwanza, John Mongella akiwa na Kamati ya Usalama kwa ajili ya kukagua mtambo wa kunyunyizia dawa ya kuthibiti maambukizi ya virusi vya Corona (Covid- 19) uliotengenezwa na kampuni ya Songoro Marine ya jijini Mwanza.
#BMGHabari
 Mkuu wa Mkoa mwanza, John Mongella akipita kwenye mtambo huo unaotumia sensa kufanya kazi.
 Mkuu wa Mkoa mwanza, John Mongella akipita kwenye mtambo huo.
 Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Emmanuel Tutuba akipita kwenye mtambo huo.

No comments:

Powered by Blogger.