LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wananchi Mwanza wausaka umeme kwa mbinde/ wapaza sauti kwa Rais Magufuli

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wakazi wa Kata ya Kishiri jijini Mwanza wameiomba Serikali kupitia Wizara ya Nishati kuwasainia kufikishiwa nishati ya umeme ambayo wamehangaika kuisaka kwa muda mrefu bila mafanikio.
#BMGHabari
baadhi ya wakazi hao wakiwemo wale wanaotoka mitaa ya Kanindo na Bukaga wanasema ukosefu wa nishati hiyo katika mitaa yao umezorotosha juhudi za kujiletea maendeleo kama inavyosisitizwa na Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.