LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANZA "Nganza Sekondari wakabidhiwa gari"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa Mwanza, Joseph Mtindika (kushoto) akimkabidhi Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Emmanuel Tutuba (kulia) ufunguo wa gari la mizigo (lori) lililotolewa na mamlaka hiyo kwa ajili ya matumizi ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza.

 Anayeshuhudia makabidhiano ya gari hilo lenye thamani ya shilingi Milioni 30 (Tsh. 30,295,125) ni Mkuu Mkoa wa Mwanza, John Mongella (katikati).
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Katibu Tawala Mkoa Mwanza, Emmanuel Tutuba (kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Nganza, Mwl. Yasinta Lyimo (kulia) ufunguo wa gari hilo. Ni baada ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza kulikabidhi gari hilo katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Nganza kwa ajili ya kusaidia shughuli mbalimbali shuleni hapo na nyinginezo za kiserikali pia.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.