LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kuelekea Uchaguzi Mkuu “Tahadhari yatolewa”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Mwanza imewataka wananchi kuvunja ukimya na kuwa wepesi kutoa taarifa za vitendo vya rushwa hususani kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020.


Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa Mwanza, Daud Ndyamukama ametoa rai hiyo Jumanne Aprili 21, 2020 wakati akitoa taarifa kwa umma kupitia waandishi wa habari kuhusu utendaji kazi wa taasisi hiyo katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Machi, 2020.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Naibu Mkuu wa Taasisi ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Mwanza, Daud Ndyamukama akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo katika kipindi cha kuanzia mwezi Januari hadi Machi 2020.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.