LIVE STREAM ADS

Header Ads

Vitendo vya Rushwa “Viongozi Serikali za Mitaa walalamikiwa zaidi”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Naibu Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Mwanza, Daud Ndyamukama Jumanne Aprili 21, 2020 akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo kuanzia mwezi Januari hadi Machi mwaka huu 2020.

Pamoja na mambo mengine, Ndyamukama amebainisha kwamba taasisi hiyo imefanikiwa kuokoa fedha kiasi cha shilingi milioni 25 (Tsh. 25,055,200) pamoja na kudhibiti upotevu wa kiasi kingine cha shilingi milioni 111 (Tsh. 111,659,045) katika kipindi hicho.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkuu wa TAKUKURU Wilaya Ilemela, Julian Augustine akionesha fedha kiasi cha shilingi milioni 12 (Tsh. 12,743,000) zilizookolewa kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba ya waalimu katika Shule ya Msingi Chasubi wilayani humo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.