LIVE STREAM ADS

Header Ads

TAKUKURU Mkoa Mwanza yaokoa mamilioni ya fedha

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Mwanza imefanikiwa kuokoa fedha kiasi cha shilingi milioni 25 (Tsh. 25,055,200) pamoja na kudhibiti upotevu wa kiasi kingine cha shilingi milioni 111 (Tsh. 111,659,045) katika kipindi cha mwezi Januari hadi Machi 2020.

Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa Mwanza, Daud Ndyamukama amebainisha hayo Jumanne Aprili 21, 2020 wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Machi 2020. 
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa Mwanza, Daud Ndyamukama akitoa taarifa ya utendaji kazi wa taasisi hiyo katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Machi 2020.
 Watumishi mbalimbali wa TAKUKURU Mkoa Mwanza wakifuatilia taarifa hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.