LIVE STREAM ADS

Header Ads

Bunda “shirika la KIVULINI launga mkono juhudi za kupambana na Corona”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Mkuu wa Wilaya Bunda mkoani Mara, Lidya Bupilipili (kushoto) Alhamisi Aprili 30, 2020 akizungumza na wafanyabiashara wa soko kuu wilayani humo wakati wa zoezi fupi la kukabidhi mashine ya kupima joto la mwili sokoni hapo iliyotolewa na shirika la kutetea haki za wasichana na wanawake KIVULINI.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mkuu wa Wilaya Bunda, Lidya Bupilipili akiongoza viongozi mbalimbali kunawa mikono kabla ya kuingia katika soko kuu wilayani humo kukabidhi mashine ya kupima joto la mwili iliyotolewa na Shirika la KIVULINI.
 Viongozi mbalimbali wilayani Bunda wakinawa mikono kabla ya kuingia soko kuu wilayani humo.
 Wafanyabishara wa soko kuu wilayani Bunda wakipima joto la mwili baada ya shirika la KIVULINI kuwakabidhi mashine ya kupima joto la mwili (Thermometer).
 Mkuu wa Wilaya Bunda, Lidya Bupilipili akizungumza na viongozi mbalimbali wilayani humo wakati akipokea mashine ya kupima joto la mwili kutoka Shirika la KIVULINI.
 Mkuu wa Wilaya Bunda, Lidya Bupilipili akiwapima joto viongozi mbalimbali wilayani humo.
 Watumishi mbalimbali wilayani Bunda wakipima joto la mwili.
Mkuu wa Wilaya Bunda, Lidya Bupilipili (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya Bunda (kulia) fedha shilingi milioni moja (Tsh. 1,000,000) zilizotolewa na shirika la KIVULINI ili kuboresha mfumo wa maji katika soko kuu la Wilaya hiyo. 
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.