LIVE STREAM ADS

Header Ads

Jiji la Mwanza latakiwa kujibu hoja za CAG kwa wakati/ kuimarisha mapato

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Halmashauri ya Jiji la Mwanza imetakiwa kuhakikisha inajibu na kuzifuta hoja zote za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) huku pia ikiimarisha uwezo wake wa kudhibiti vyanzo vya mapato.

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella aliyasema hayo Ijumaa Mei 01, 2020 wakati akifungua kikao cha baraza la madiwani la Halmashauri hiyo kwa robo ya tatu ya mwaka 2019/20 kilicholenga kujadili hoja za CAG.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.