LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kuvaa barakoa sasa ni lazima- RC Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alitoa kauli hiyo Ijumaa Mei 01, 2020 wakati akifungua kikao cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kilichoketi kujadili hoja za Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.