LIVE STREAM ADS

Header Ads

Viongozi wa dini watakiwa kuhimiza matumizi ya barakoa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella akizungumza na viongozi wa dini Jumamosi Mei 02, 2020 amewahimiza viongozi hao kuwahamasishaji waumini wao kuvaa barakoa (mask) wanapokuwa kwenye mikusanyiko ili kujikinga na hatari ya kupata maambukizi ya Corona.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.