LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANZA- wananchi watengeneza barabara “Serikali ituunge mkono”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Wakazi wa Mtaa wa Kanyerere katika Kata ya Butimba jijini Mwanza wameungana na Mwenyekiti wao wa Serikali ya Mtaa Cansola Magesa kuzibua miundombinu ya barabara huku wakiiomba Serikali kuwaunga mkono.
#BMGHabari
Mwenyekiti wao wa Serikali ya Mtaa wa Kanyerere Kata ya Butimba jijini Mwanza, Cansola Magesa akishiriki kwenye upasuaji wa mawe ili kuzibua barabara ya Mkuyuni-Kanyerere-Kilimani.
Wakazi wa Mtaa wa Kanyerere katika Kata ya Butimba jijini Mwanza kwa kushirikiana na Mwenyekiti wao wa Serikali ya Mtaa kuboresha miundombinu ya barabara ambazo zilikuwa hazipitiki kutokana na majabali ya mawe, miinuko na mabonde.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.