LIVE STREAM ADS

Header Ads

Viongozi wa dini wakabidhiwa vifaa vya kujikinga na Corona

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Viongozi wa dini katika Mtaa wa Kanyerere Kata ya Butimba jijini Mwanza wamekabidhiwa vifaa vya kujikinga na virusi vya Corona (Covid- 19) huku wakitakiwa kuwaelimisha waumini wao kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi hayo.

Vifaa hivyo ikiwemo sabuni pamoja na barakoa vimetolewa Jumamosi Mei 02, 2020 na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo, Cansola Magesa ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za Serikali kupambana na maambukizi ya Corona. 
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Mwenyekiti wa Mtaa wa Kanyerere Kata ya Butimba jijini Mwanza, Cansola Magesa (kushoto) akikabidhi vifaa kinga dhidi ya Corona kwa viongozi wa dini. 
Tazama picha zaidi hapa chini.
  Mwenyekiti wa Mtaa wa Kanyerere Kata ya Butimba jijini Mwanza, Cansola Magesa (kushoto) akikabidhi vifaa kinga dhidi ya Corona kwa viongozi wa Serikali ya Mtaa huo.
Tazama picha zaidi hapa chini
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.