Machinga Mwanza wampongeza Rais Magufuli
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wafanyabiashara
wadogo (machinga) katika mitaa na masoko mbalimbali jijini Mwanza wameungana na
kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuongoza vyema mapambano dhidi ya
Corona bila kuzuia wananchi kutoka nje (lockdown).
Pongezi za
wafanyabiashara hao zimetolewa Jumanne Mei 19, 2020 kupitia vyama vyao (Umoja
wa Machinga Mkoa Mwanza pamoja na Shirika la Machinga Mkoa Mwanza).
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: