Baba atuhumiwa kumpa mwanae ujauzito
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mwanaume
mmoja mkazi wa Wilaya Bunda mkoani Mara anashikiliwa na jeshi la polisi kwa
tuhuma za kumpa ujauzito mtoto wake ambaye ni mwanafunzi wa darasa la tano.
Jumla ya watuhumiwa wawili akiwemo baba wa mtoto huyo wanaendelea kuhojiwa
kutokana na tukio hilo.
Mkuu wa
Wilaya Bunda, Lidya Bupilipili amethibitisha taarifa hizo na kueleza kwamba
hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na
vitendo hivyo vya kikatili kwa watoto wa kike.
#BMGHabari
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari kwa kina
No comments: