LIVE STREAM ADS

Header Ads

Viongozi wa Dini watoa Tamko “Uchaguzi uwe Huru na Haki”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Viongozi wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa Mwanza Juni 17, 2020 wametoa tamko la kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakiangazia utendaji kazi wake wa miaka mitano.

Aidha viongozi hao pia wamempongeza Dkt. Magufuli kwa hotuba yake ya kuhitimisha bunge aliyoitoa Juni 16, 2020 na namna alivyoliongoza Taifa kwenye mapambano dhidi ya virusi vya Corona (Covid-19) huku wakitoa nasaha kwa vyama vya siasa pamoja na wananchi kuhakikisha Uchaguzi Mkuu mwaka huu 2020 unakuwa Huru na Haki.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
 Viongozi wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa Mwanza wakitoa tamko la kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli.
Viongozi wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Mkoa Mwanza wakitoa tamko la kumpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli. 
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.