LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la KIVULINI lakabidhi pikipiki “kupambana na Ukatili wa Kijinsia”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

 Shirika la kutetea haki za watoto na wanawake KIVULINI limetoa pikipiki 17 zenye thamani ya shilingi Milioni 47 katika Wilaya za Bunda na Tarime mkoani Mara ili kurahisisha usafiri kwenye mapambano dhidi ya Ukatili wa kijinsia.
#BMGHabari
 Mkuu wa Wilaya Bunda, Lidya Bupilipili (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya kupokea pikipiki tisa kutoka shirika la KIVULINI ili kurahisisha usafiri kwenye mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia.
 Mkuu wa Wilaya Bunda, Lidya Bupilipili (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Bunda, Janeth Mayanja pikipiki kwa ajili ya kusaidia mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia.
Mkuu wa Wilaya Bunda, Lidya Bupilipili (kushoto) akimkabidhi pikipiki Beatrice Gwamagobe ambaye ni Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya Bunda.
 Mkuu wa Wilaya Bunda, Lidya Bupilipili (kushoto) akimkabidhi pikipiki Mayasa Soph ambaye ni Mwakilishi wa Mkuu wa Polisi Wilaya Bunda.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.