RC Mongella ahamasisha wafanyabiashara kulipa kodi
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa
Mwanza, Mongella amewahamasisha wafanyabiashara kulipa kodi kwa wakati kabla ya
mwaka fedha 2019/20 kumalizika ili kuondokana na usumbufu wanaoweza kukumbana
nao baada ya kuchelewa kufanya hivyo.
Mongella
aliyasema hayo wakati akizungumzia zoezi la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
kutoa elimu ya mlipa kodi, kuhamasisha ulipaji kodi na kusikiliza changamoto za
wafanyabiashara kuanzia Juni 15-22, 2020 mkoani Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na kodi
No comments: