Matokeo Kura za Maoni UVCCM mkoani Geita
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wajumbe halali ni 31
Waliohudhuria kupiga kura 31
Wanaogombea 13
Mgombea 1 amejitoa
Wagombea 2 hawakufika
Wagombea waliopo katika ukumbi na kujitambulisha na kutoa sera zao ni 11.
Matokeo :
1. Naomi Misungwi - 15
2. Azaveri Mfungo - 8
3. Lydia Mabenga - 3
4. Wakili Zainabu Mtarambe - 1
5. Eva Gerald - 1
6. Leticia Mpepo - 1
7. Pendo Mashauri - 1
8. Zulfa - 1
SOMA>>> Matukio mbalimbali Kura za Maoni
No comments: