LIVE STREAM ADS

Header Ads

Dkt. Mwinyi mgombea Urais CCM Zanzibar

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa umempitisha Dkt Hussein Mwinyi kuwa mgombea urais katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Dkt. Hussein Mwinyi amepata kura 129 (asilimia 78.65) akiwapiku Dkt. Khalid Salim Mohamed aliyepata kura 19 (asilimia 11.58) pamoja na Shamsi Vuai Nahodha aliyepata kura 9 (asilimia 9.75).
Jumla ya watia nia 33 waliomba walichukua fomu kuwania nafasi hiyo visiwani Zanzibar.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.