LIVE STREAM ADS

Header Ads

Rais Magufuli kushiriki mazishi ya Mzee Mkapa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Jumanne Julai 28, 2020 amewasili amewasili katika uwanja wa ndege wa Mtwara kwa ajili ya kushiriki mazishi ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin William Mkapa yatakayofanyika Jumatano Julai 29, 2020 kijijini kwao Lupaso wilayani Masasi. Hayati Mzee Mkapa alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa Julai 24, 2020.
Picha na Michuzi Blog

No comments:

Powered by Blogger.