LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAJIBU “uvumi wa familia kumtenga Dkt. Shika enzi za uhai wake”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baada ya Dkt. Luis Shika maaruku kama 900 Itapendeza kufariki dunia Jumapili Agosti 13, 2020, familia imezungumzia mambo kadhaa ikiwemo uvumi kwamba ilimtenga enzi za uhai wake. 

Dkt. Shika alizikwa katika makabuli ya familia yaliyopo Kitongoji cha Mwabuye, Kijiji cha Muda, Kata ya Nyanguge, Wilaya Magu mkoani Mwanza, Jumanne Agosti 25, 2020.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.