LIVE STREAM ADS

Header Ads

Watutendee Haki ndipo watudai Amani- Mgombea CHADEMA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika jimbo la Sengerema mkoani Mwanza, Victoria Ndabatangile amehimiza Uchaguzi Mkuu 2020 kuwa wa Haki hatua itakayodumisha Amani iliyopo nchini. Ndabatangile ameyasema hayo wakati akirejesha fomu ya kugombea kwa Msimamizi wa Uchaguzi jimboni humo.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.