Katibu Mkuu ALAT akagua miradi ya maendeleo jijini Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katibu Mkuu Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Elirehema Kaaya amekagua wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza na kuridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo.
Kaaya amefanya ziara hiyo Agosti 10, 2020 ambapo amekagua ujenzi wa wodi ya wanaume katika Hospitali ya Wilaya Nyamagana, vyumba vya madarasa katika Shule ya Msingi Iseni B pamoja dampo la kisasa Buhongwa.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari kuhusiana na ALAT
No comments: