Watanzania kula na kunywa KOROSHO
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Agosti 06 kila mwaka huwa ni maalum kwa ajili ya utoaji elimu kwa wananchi kuhusiana na zao la Korosho ambapo kwa mwaka huu 2020 taasisi ya TARI Naliendele imetenga siku hiyo kwa ajili ya wananchi watakaotembelea Maonesho ya Nanenane katika viwanja vya Ngongo Manispaa ya Lindi kula na kunywa Korosho.
Tazama BMG OONLINE TV hapa chini
SOMA>>> Habari mbalimbali za Maonesho
No comments: