LIVE STREAM ADS

Header Ads

Katibu Mkuu ALAT akagua miradi ya maendeleo Buchosa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katibu Mkuu ALAT Taifa, Elirehema Kaaya amekagua utekelezaji wa miradi mbalimbali katika Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema na kuridhishwa na matumizi mazuri ya fedha za Serikali. 

Miradi aliyotembelea Kaaya ni pamoja na ujenzi wa Hospitali yenye hadhi ya Wilaya, jengo la Ofisi za Halmashauri, vyumba vya madarasa na maktaba katika Shule ya Sekondari Nyehunge.
Ujenzi wa jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Buchosa.
Hospitali ya Buchosa yenye hadhi ya Hospitali ya Wilaya.
Maktaba katika Shule ya Sekondari Nyehunge.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.