Viongozi wapewa makavu timu za Mwanza kutolewa Ligi Kuu
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Katibu wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanaoandika Habari za Michezo Mkoa Mwanza (Mwanza Sports Writters Unioni- MWASWU), Fabian Fanuel anazungumzia mwelekeo wa soka ikiwemo timu za soka mkoani Mwanza (Mbao FC na Alliance SC) kutolewa Ligi Kuu.
Tazama BMG hapa chini
SOMA>>> Habari mbalimbali za Soka
No comments: