LIVE STREAM ADS

Header Ads

MABULA WA NYAMAGANA A-TEST MITAMBO/ JPM AKUBALI

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mgombea ubunge Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Stanslaus Mabula akitoa salamu kwa wananchi na kuomba kura baada ya mgombea urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo la Igoma jijini Mwanza.

Dkt. Magufuli amewasili jijini Mwanza Septemba 06, 2020 akitokea Musoma mkoani Mwanza kwa ajili ya Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatatu Septemba 07, 2020 katika uwanja wa CCM Kirumba.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Wananchi waliojitokeza kwa wingi kumlaki mgombea urais wa CCM, Dkt. John Magufuli wakati akiwasili mkoani Mwanza.
Umati mkubwa wa wananchi umejitokeza kumlaki mgombea urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwasili mkoani Mwanza akitokea Musoma mkoani Mara.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.