LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mabula amjibu Pambalu “wanachonga tumebomoa soko na stendi”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mgombea ubunge jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Stanslaus Mabula akiomba kura kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kwa awamu ya pili kuwa mwakilishi wa wananchi bungeni.

Mabula ametumia fursa hiyo kuwajibu wanaopotosha kuhusu utekelezaji wa miradi ya Serikali ikiwemo ujenzi wa soko kuu jijini Mwanza pamoja na stendi ya mabasi Nyegezi.
#BMGHabari
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini
PICHA SOMA>>> Pambalu ambeza Mabula

No comments:

Powered by Blogger.