LIVE STREAM ADS

Header Ads

MWANZA WAJIPANGA BAADA YA LIKIZO

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Likizo ya juma moja kwa Shule za Msingi na Sekondari iliyoanza Agosti 28, 2020 imetamatika na Shule zimefunguliwa Jumatatu Septemba 07, 2020 ambapo BMG tumezungumza na baadhi ya wanafunzi na waalimu jijini Mwanza ili kujua wamejiandaa vipi na masomo.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Wanafunzi wakiwa darasani jijini Mwanza Jumatatu Septemba 07, 2020 baada ya shule kufunguliwa kufuatia tamati ya likizo fupi ya juma moja kuanzia Agosti 28, 2020.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.