LIVE STREAM ADS

Header Ads

MSIMAMIZI WA UCHAGUZI MISUNGWI AKANUSHA UWEPO WA VITUO HEWA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza, Kisena Mabuba amekanusha taarifa iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na Katibu wa CHADEMA jimboni humo kwamba kuna uwepo wa vituo hewa vya kupigia kura.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.