LIVE STREAM ADS

Header Ads

MAJIBU kwa waliodhani jengo la abiria MWANZA AIRPORT limekwama

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Ujenzi wa jengo jipya na la kisasa la kwa ajili ya abiria katika uwanja wa ndege wa Mwanza umeanza kwa kasi baada ya kuwasili kwa vyuma kutoka nje ya nchi. 

Rais Dkt. John Magufuli akiwa jijini Mwanza mwaka 2018 aliagiza Halmashauri ya Jiji la Mwanza na Manispaa ya Ilemela kuchangia fedha kwa ajili ya ujenzi wa jengo hilo ikiwa ni sehemu ya maboresho ya uwanja wa ndege wa Mwanza. 

Ujenzi wa jengo hilo ulisimama kwa muda baada ya vyuma hivyo kuchelewa kuwasili kutokana na changamoto ya Corona.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.