LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanawake wapewa mafunzo kukabiliana na Mabadiliko ya Tabia Nchi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waathirika wakubwa wa athari za mabadiliko ya tabia nchi ni wanawake ambao baadhi yao kupitia shughuli mbalimbali ikiwemo kilimo bila kujua wamekuwa wakichangia athari hasi za mabadiliko ya tabia nchini. 

Kutokana na ukweli huo, mtandao wa mashirika ya wanawake yanayofanya kazi za jinsia na mabadiliko ya tabia nchi (WATED) umeanzisha kampeni ya kutoa elimu kwa wanawake kuhusiana na masuala ya mabadiliko ya tabia nchi.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.