LIVE STREAM ADS

Header Ads

TUNATOA UFADHILI WA MASOMO KWA WASICHANA- CAMFED

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mratibu wa shirika la CAMFED Mkoa Mwanza, Marry Nziku (juu) amezungumza kwa kina kuhusiana na namna shirika hilo linavyowasaidia ufadhili wa masomo watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu pamoja na kuwaendeleza kimafunzo walioshindwa kuhitimu kidato cha nne.
#BMGHabari
Baadhi ya mabinti walioshindwa kuhitimu kidato cha nne wakiwa kwenye mafunzo jijini Mwanza ili kuwajengea uwezo wa kujitambua na kujiunga na mafunzo katika vyuo mbalimbali ili kujikwamua kiuchumi.
Mafunzo hayo yalihusisha wasichana 121 kutoka Halmashauri za Jiji la Mwanza, Manispaa ya Ilemela, Manispaa ya Kahama na Shinyanga.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.