LIVE STREAM ADS

Header Ads

Benki ya KCB yatamba mbio za “Rock City Marathon”

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wafanyakazi na wateja wa benki ya KCB wametamba kufanya vizuri kwenye mbio za Rock City Marathon zinazofanyika Jumapili Novemba 29, 2020 jijini Mwanza. 

Meneja wa benki hiyo tawi la Mwanza, Emmanuel Mzava ametoa tambo hizo wakati akizungumza na wanahabari kwenye ufunguzi wa mbio hizo zilizodhaminiwa pia na benki ya KCB.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.