LIVE STREAM ADS

Header Ads

Raia wa Ethiopia wakamatwa jijini Mwanza "RC Mongella atangaza kiama"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella amewaonya baadhi ya wananchi wanaowahifadhi raia wa kigeni wanaoingia nchini vila vibali kwani hatua hiyo inahatarisha hali ya ulinzi na usalama wa wananchi na mali zao.

Mongella ametoa onyo hilo Novemba 26, 2020 wakati akitoa taarifa kuhusiana na raia 52 kutoka nchini Ethiopia waliokamatwa jijini Mwanza katika maeneo mawili tofauti wakiwa wamehifadhiwa ili baadae waendelee na safari ya kuelekea nchini Afrika Kusini.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Watuhumia wa uhamiaji haramu kutoka nchini Ethiopia waliokamatwa jijini Mwanza wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongella alipofika Ofisi za Uhamiaji kuwaona baada ya kukamatwa Novemba 23, 2020.
Tazama BMG ONLINE TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.