LIVE STREAM ADS

Header Ads

Angalizo kwa vyombo vya habari, watumiaji wa mitandao ya kijamii

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevitaka vyombo vya habari ikiwemo redio, runinga pamoja na mitandao ya kijamii kufanya kazi kwa kuzingatia sheria ili kujiepusha na adhabu kutokana na makosa wanayoweza kuyafanya. 

Viongozi wa TCRA walitoa angalizo hilo Disemba 21, 2020 kwenye mafunzo kwa uelewa wahariri, wazalishaji wa vipindi pamoja na wasimamizi wa vyombo vya habari Kanda ya Ziwa kuhusiana na sheria na kanuni za utangazaji, taratibu za utoaji leseni, maudhui ya mtandaoni, maudhui ya redio pamoja na runinga.
#BMGHabari
Mkuu wa TCRA Kanda ya Ziwa Mhandisi Francis Mihayo (kushoto) akizungumza kwenye mafunzo hayo. Kulia ni Mkurugenzi wa Leseni TCRA, Andrew Kisaka.
Washiriki wa mafunzo hayo.
Mmoja wa washiriki akichangia mada.
Washiriki wa mafunzo hayo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.