LIVE STREAM ADS

Header Ads

Ujenzi wa daraja la JPM, mashine inavyochimba mashimo ya nguzo ziwani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Disemba 18, 2020 alikagua ujenzi wa daraja la JPM katika eneo la Kigongo (Misungwi) na Busisi (Sengerema) mkoani Mwanza na kuridhishwa na hatua za ujenzi wa daraja hilo. 

Kwa sasa ujenzi huo uko kwenye hatua za ukamilishaji wa daraja la muda kwa ajili ya kupitisha vifaa vya ujenzi wa daraja husika unaotarajiwa kuanza mwakani 2021 huku likitarajiwa kukamilika mwaka 2024 kwa gharama za serikali zaidi ya shilingi bilioni 600.
Tazama BMG TV hpa chini

No comments:

Powered by Blogger.