LIVE STREAM ADS

Header Ads

Magufuli aagiza Mkurugenzi aliyechongewa na Msukuma asimamishwe

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Baada ya mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku ‘Musukuma’ kulalamikia sakata la Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Geita kununua gari la Tsh. Milioni 400, Rais Dkt. Magufuli amemwagiza Waziri wa TAMISEMI akamsimamishe Mkurugenzi huyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.