LIVE STREAM ADS

Header Ads

INAUMA!! Tazama safari ya mwisho ajali iliyoua 15

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Miili ya watu 15 waliofariki kwenye ajali ya barabarani iliyotokea Disemba 13, 2020 katika Kijiji cha Mkiwa Wilaya Ikungi mkoani Singida, imepumzishwa katika nyumba ya milele. Miili 12 imezikwa jijini Mwanza, mingine Magu (mmoja), Mbeya (mmoja) na Bukoba (mmoja).
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.