LIVE STREAM ADS

Header Ads

PICHA: Uzinduzi wa Mtandao wa Wanawake Laki Moja Tanzania

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Matukio katika picha kwenye hafla ya uzinduzi wa Mtandao wa Wanawake Laki Moja Tanzania unaofanyika katika ukumbi wa BOT jijini Mwanza Jumamosi Disemba 05, 2020 mgeni rasmi akiwa ni mke wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya awamu ya nne, Mama Tunu Pinda.

Lengo la mtandao huo ni pamoja na kuwajengea uwezo wanawake kujitambua, kushiriki kwenye shughuli za kiuchumi pamoja na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia hususani kwa wanawake na watoto.
#BMGHabari
Mwanamuziki Zarii Edosha akiburushisha kwenye hafla hiyo.

No comments:

Powered by Blogger.