LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanawake Tanzania waanzisha asasi ya kupigania haki zao

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Wanawake nchini Tanzania wameungana pamoja na kuanzisha asasi ya Mtandao wa Wanawake Laki Moja yenye lengo la kutetea haki, kupinga ukatili wa kijinsia pamoja na kuimarishana kiuchumi ambapo uzinduzi wake ulifanyika Jumamosi Disemba 05, 2020 jijini Mwanza mgeni rasmi akiwa ni Mama Tunu Pinda ambaye ni mke wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne.
#BMGHabari
Mwenyekiti wa asasi ya Mtandao wa Wanawake Laki Moja Mkoa Mwanza, Winfrida Gyunda.
Mama Tunu Pinda (katikati) akikaribishwa kuongea na wanachama wa Mtandao wa Wanawake Laki Moja.
Zoezi la keki ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa mtandao huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.