LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Jafo akagua dampo la kisasa Buhongwa jijini Mwanza, ataka mradi uwe endelevu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Selemani Jaffo Januari 04, 2021 amefanya ziara yake ya kwanza mkoani Mwanza tangu ateuliwe kwa kipindi cha pili kushika nafasi hiyo kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020. 

Pamoja na shughuli nyingine, Waziri Jaffo amekagua ujenzi wa dampo la kisasa Buhongwa katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza ambalo ujenzi wake umegharimu zaidi ya shilingi bilioni 9.4 hadi kukamilika kwake na kuagiza mradi huo kusimamiwa vyema ili kuwa endelevu.
Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba (kulia) akitoa ufafanuzi wa jambo kwa Waziri wa OR- TAMISEMI, Selemani Jafo (kushoto) alipotembelea dampo la kisasa Buhongwa.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.