Loh! Aliyeibukia kwenye ziara ya JAFO na mafaili azua balaa, viongozi wapoteana
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mvutano umeibuka baada ya viongozi katika Halmashauri ya Wilaya Sengerema mkoani Mwanza kupishana maelezo kuhusiana na malalamiko ya wananchi waliofika katika ziara ya Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo wakilalamikia kutolipwa fidia licha ya ardhi yao kuchukuliwa kwa ajili ya ujenzi wa stendi.
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: