LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mabula aahidi neema soko la Mkuyuni jijini Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula amekagua miundombinu katika soko la Mkuyuni na kusikiliza kero za wafanyabiashara sokoni hapo ambapo ameahidi kuwa soko hilo ni miongoni mwa masoko 10 jijini Mwanza atakayohakikisha yanaboreshwa.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula akikagua mazingira ya wafanyabiashara wadogo katika soko la Mkuyuni.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula akiwa ameambatana na wataalamu mbalimbali wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza kukagua mazingira ya soko hilo.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula (kushoto) akipata baraka kutoka kwa mmoja wa wakazi wa Mkuyuni.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula akipokea maoni mbalimbali sokoni hapo.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula akisalimiana na wananzengo wa Mkuyuni.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula na viongozi mbalimbali wakikagua mipaka ya soko la Mkuyuni.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula akisalimiana na wakazi wa Mkuyuni.
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana mkoani Mwanza, Stanslaus Mabula na viongozi mbalimbali mguu kwa mguu kusikiliza kero za wakazi wa Mkuyuni ili kuzitafutia ufumbuzi.
Tazama BMG TV hapa chini
Tazama zaidi>>> Mbunge mabula kazini

No comments:

Powered by Blogger.