LIVE STREAM ADS

Header Ads

Loh! Waziri Gwajima hapoi, agawa dozi nyingine. Watumishi hawana hamu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima amekagua ujenzi wa jengo la ghorofa tano katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwanza Sekou Toure, mifumo mbalimbali ya utoaji huduma katika Hospitali hiyo na kisha kuzungumza na watumishi wa afya.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.