LIVE STREAM ADS

Header Ads

Duh! Mwanza waiona changamoto ya wafanyabiashara kuzagaa mitaani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula amekagua masoko mbalimbali jijini Mwanza na kuhimiza yaboreshwe hatua itakayosaidia kuondoa wafanyabiashara wadogo waliozagaa mitaani.
Viongozi mbalimbali walishiriki ziara hiyo akiwemo Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Costantine Sima.
Ziara ya Mbunge wa Nyamagana ilikagua masoko mbalimbali ikiwemo Soko Kuu, Machinjioni, Bugarika, Mirongo, Kamanga, Buhongwa, Mkolani, Nyegezi na Mkuyuni.
Ziara ya Mbunge wa Nyamagana kukagua masoko mbalimbali jijini Mwanza ili kubaini changamoto zake kwa ajili ya kuzitafutia ufumbuzi kama alivyoahidi wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu 2020.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.