LIVE STREAM ADS

Header Ads

Naibu Waziri wa Maji akagua miradi ya Maji Kwimba, aacha maagizo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi amekagua miradi mbalimbali ya maji katika Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza na kuagiza miradi ambayo haijamalizika ikamilike baada ya kusuasua kwa muda mrefu.

“Mwaka huu viporo vyote lazima viliwe kwa maana ya kwamba miradi yote ya maji ambayo ilibaki viporo tunakwenda kuikamilisha” alisisitiza Mhandisi Mahundi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.