LIVE STREAM ADS

Header Ads

Taasisi ya WAJIBU yawapiga msasa Waandishi wa Habari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa Binagi Media Group. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama binagimediagroup@gmail.com
Meneja wa Fedha na Utawala kutoka Taasisi ya WAJIBU, Jackson Mmary akizungumza na kufafanua jambo wakati akiwasilisha moja ya mada iliyohusu masuala ya Kilimo katika Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari iliofanyika jana jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya ruhwa ,ubadhirifu na udanganyifu katika sekta za umma.
Baadhi ya Wanahabari walioshiriki Warsha hiyo wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa ukumbini humo.
Afisa Mawasiliano kutoka Taasisi ya WAJIBU,Hassan Kisena akizungumza na kufafanua jambo wakati akiwasilisha moja ya mada iliyohusu masuala ya viashiria vya vitendo vya Rushwa katika Sekta ya Umma katika Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari iliofanyika jana jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya ruhwa ,ubadhirifu na udanganyiffu katika sekta za umma.
Wakifuatilia kwa makini.Meneja wa Fedha na Utawala kutoka Taasisi ya WAJIBU, Jackson Mmary akizungumza na kufafanua jambo wakati akiwasilisha moja ya mada iliyohusu masuala ya Elimu kuhusiana na Mafanikio lakini pia upungufu wa Miundombinu katika sekta ya Elimu hapa nchini,katika Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari iliofanyika jana jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya ruhwa ,ubadhirifu na udanganyiffu katika sekta za umma .
Meneja wa Fedha na Utawala kutoka Taasisi ya WAJIBU, Jackson Mmary akimsikiliza kwa makini mmoja wa Wanahabari (hayupo pichani) aliyekuwa akitoa ushuhuda kuhusu hali ya upatikanaji wa maji Mjini na Vijijini. Afisa Ufuatiliaji na Tathimini,Tekla Mleleu akiwakaribisha Wanahabari kabla ya kuanza kwa Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari hao iliofanyika jana jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya ruhwa ,ubadhirifu na udanganyiffu katika sekta za umma.
Mmoja wa Wanahabari akieleza kwa kutoa ushuhuda kwa namna baadhi ya maeneo yanavyokumbwa na chagamoto ya upungufu wa Miundombinu katika sekta ya Elimu.
Wafanyakazi wa Taasisi ya WAJIBU wakifuatilia Mada zilizokuwa zikijadiliwa kwenye Warsha hiyo iliyoandaliwa na Taasisi hiyo kwa Wanahabari.Meneja wa Fedha na Utawala kutoka Taasisi ya WAJIBU, Jackson Mmary akizungumza na kufafanua jambo wakati akiwasilisha moja ya mada iliyohusu hali ya upatikanaji wa Maji hapa nchini katika Warsha ya Uchambuzi wa Kisekta kwa Wanahabari iliofanyika jana jijini Dar es Salaam.Warsha hiyo ilihusu ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo ngazi ya Halmashauri pamoja na uchambuzi wa viashiria vya ruhwa ,ubadhirifu na udanganyiffu katika sekta za umma .

No comments:

Powered by Blogger.